Sale!
, , , ,

3dial Watch Black

Rated 5.00 out of 5 based on 5 customer ratings
(5 customer reviews)

Original price was: Sh 145,000.Current price is: Sh 135,000.

Automatic Forisining 3dial Watch
  • Haitumi battery (No battery)
  • Inaonyesha (TAREHE,SIKU & MWEZI)
  • Mishale yote inafanya kazi
  • Alloyed belts haipauki wala kuchubuka
  • Inatumia mitikisiko na ufunguo kujicharge(Hybrid)
  • Waterproof, Luminous(Inatoa mwanga kwenye giza)
  • Brand New with WatchBox and Watch Manual
  • Warranty 1 year.

5 reviews for 3dial Watch Black

  1. Rated 5 out of 5

    Hamis Baltazari

    Hii nyeusi ni nzuli sana,imekuja kama ilivyo Asante citystoretz

    • citystoretz

      Shukran kwa kuchukua muda wako kutoa mrejesho Asante

  2. Rated 5 out of 5

    Moringe Atiole

    Mko fasta sana arusha nimepata mzigo wangu shukran kwako

  3. Rated 5 out of 5

    James Nathaniel

    Thanks for the package I received it well and sound Tunduma border,Fast delivery ever

  4. Rated 5 out of 5

    Brown mauzo

    Mwanza town umenifikia boss,,mzigo wenyewe huu yamoto sana ngoja nami nikatambe nayo.,

  5. Rated 5 out of 5

    Kaiza mavula

    Kali sana mzee mpo fasta kigamboni

Add a review

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You may also like…

0
    0
    My Cart
    Your cart is emptyReturn to Shop
    3dial Watch Black
    Original price was: Sh 145,000.Current price is: Sh 135,000.